CP AWADHI AFANYA UKAGUZI

Leo tarehe 30.09.2023 Kamishina wa Opereseheni na mafunzo Jeshi la Polisi, AWADHI JUMA HAJI amefanya ukaguzi katika shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Maeneo aliyokagua ni maendeleo ya “Rehasal” kwa wanafunzi wa mafunzo ya awali ya TAKUKURU pamoja na Maandalizi ya kupokea wanafunzi wapya wa kuruta. Hata hivyo, wakati wa ukaguzi huo ameupongeza uongozi wa Chuo pamoja na wakufunzi wote kwa jitihada ambazo wamezionesha kutoa mafunzo. Aidha, amewataka kujiepusha kushiriki mapenzi na wanafunzi badala yake wafanye kazi kwa weledi ikiwa ni pamoja na kutenda haki. Toka dawati la Habari Tps -Moshi

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *