MH. MMUYA AFANYA UKAGUZI SHULE YA POLISI TANZANIA – MOSHI.
Mh. Mmuya amefanya ukaguzi wa Shule ya Polisi Moshi leo hii mapema, na kubaini kuwa kuna uhitaji mkubwa wa kufanya ukarabati wa baadhi ya miondombinu na majengo ili kuweza kukidhi mahitaji
info@tpsmoshi.ac.tz
Mh. Mmuya amefanya ukaguzi wa Shule ya Polisi Moshi leo hii mapema, na kubaini kuwa kuna uhitaji mkubwa wa kufanya ukarabati wa baadhi ya miondombinu na majengo ili kuweza kukidhi mahitaji
Leo Februari 26,2024, Naibu Kamishina wa Polisi (DCP) David Misime ambaye ni mjumbe wa Bodi ya URA SACCOS ameongoza makabidhiano ya Vifaa vya Matangazo ili kuongeza ubora wa uwasilishaji wa mihadhara kwa wanafunzi wanahudhuria na watakao hudhuria mafunzo mbalimbali katika Shule ya Polisi Tanzania.(TPS)Akiongea na Mkuu na Wakufunzi wa shule hiyo,DCP Misime amesema hili limefanyika…
Benki za NBC pamoja na EXIM leo tarehe 24.04.2024 zimetoa msaada wa jumla ya vitanda 68 kwa shule ya Polisi Tanzania – Moshi.Akizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa makabidhiano ya vitanda hivyo Commandant wa shule hiyo, Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi RAMADHANI MUNGI amezishukuru benki hizo na kuziomba kuendeleza mshikamano huo.Aidha, LAZARO MOLLEL, meneja wa…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvalisha Nishani ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mkuu wa Shule ya Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro SACP Ramadhani Mungi na wengine kwaniaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt. Samia Suluhu…
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura akizungumza katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi leo Septemba 12, 2024 katika Shule ya Polisi Tanzania iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kliniki hiyo inafanyika Kwa siku mbili ukiwa ni maandalizi ya Ufunguzi wa zoezi hilo utakaofanyika jumatatu April 15, 2024.
WhatsApp us