WIZARA NNE ZA TEMBELEA SHULE YA POLISI TANZANIA – MOSHI.
Wizara ya Fedha, Maji ,Ardhi na Mambo ya Ndani ya Nchi leo tarehe 21.10.2023 zimefanya ziara Shule ya Polisi Tanzania
info@tpsmoshi.ac.tz
Wizara ya Fedha, Maji ,Ardhi na Mambo ya Ndani ya Nchi leo tarehe 21.10.2023 zimefanya ziara Shule ya Polisi Tanzania
Benki za NBC pamoja na EXIM leo tarehe 24.04.2024 zimetoa msaada wa jumla ya vitanda 68 kwa shule ya Polisi Tanzania – Moshi.Akizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa makabidhiano ya vitanda hivyo Commandant wa shule hiyo, Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi RAMADHANI MUNGI amezishukuru benki hizo na kuziomba kuendeleza mshikamano huo.Aidha, LAZARO MOLLEL, meneja wa…
Mfanya kazi bora wa mwaka 2023 kutoka shule ya Polisi Tanzania -Moshi askari na. G.6582 SGT JANUARI amezawadiwa pikipiki mpya aina ya Boxer ikiwa ni chachu kwa watendaji wengine kujituma kutekeleza majukumu yao kwa mwaka 2024
Picha mbalimbali wakati Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. KASSIM MAJALIWA akifunga Mafunzo ya Awali Kwa Maafisa Uchunguzi wa TAKUKURU yaliyokuwa yakifanyika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi leo Oktoba 26, 2024
Tangazo la kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Awadhi Juma Haji amefungua Mafunzo ya Askari wa Mafunzo ya awali ya Polisi yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi ambapo Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mh. Dr Samia Suluhu Hassan Kwa Jinsi alivyoliboresha Jeshi la…
WhatsApp us