WANAFUNZI WA KURUTA WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA MIONGOZO MAFUNZONI

Kamishna wa Opereseheni na Mafunzo Jeshi la Polisi nchini, AWADHI JUMA HAJI amewataka wanafunzi wa mafunzo ya Awali namba 1, 2023/2024 kufuata sheria, taratibu na miongozo muda wote wakiwa mafunzoni.Akizungumza wakati wa kuwafungulia Mafunzo wanafunzi hao waliopo kambi ya Kamba Pori na Kambi ya Kilele pori leo tarehe 27.12.2023, Kamishina AWADHI amesema hakutakuwa na muhari kwa mwanafunzi yoyote ikiwa atakiuka sheria za shule.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *