MFANYAKAZI BORA TPS-MOSHI AZAWADIWA PIKIPIKI
Mfanya kazi bora wa mwaka 2023 kutoka shule ya Polisi Tanzania -Moshi askari na. G.6582 SGT JANUARI amezawadiwa pikipiki mpya aina ya Boxer ikiwa ni chachu kwa watendaji wengine kujituma kutekeleza majukumu yao kwa mwaka 2024