WANAFUNZI 3762 WA MAFUNZO YA AWALI YA POLISI WAGEUKA KIVUTIO MJINI MOSHI

Leo tarehe 07/02/2024 Mkufunzi Mkuu Shule ya Polisi Tanzania Moshi ACP Omary Kisalo Amewakagua Askari 3762 wakiwemo wanawake 1086 wa Mafunzo ya awali ya Polisi kozi namba moja 2022/2023 (CI PAREDI) na kufanya Mazoezi ya kutembea kwa Miguu kilo meta 16 ili kuendelea kujiimarisha Kimwili na Afya kwa ujumla.

Acp Omary Kisalo amemalizia kwa kukagua maendeleo ya Wanafunzi kwa vitendo vya paredi na kuruhusu kuendelea na Matembezi(rout Match). Wananchi wapongeza Juhudi ya Jeshi la Polisi kwa kuwa na Askari wengi ambao watalinda Raia na Mali zao na kutokomeza Uhalifu na Wahalifuinchini na kuendeleza kudumisha Amani ya Inchi yetu Toka Dawati la Habari TPS-MOSHI.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *