MAOFISA WA POLISI KUTOKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI WAKATI WA KLINIKI YA ZOEZI LA UTAYARI KWA VITENDO (FIELD TRAINING EXERCISE)
Kliniki hiyo inafanyika Kwa siku mbili ukiwa ni maandalizi ya Ufunguzi wa zoezi hilo utakaofanyika jumatatu April 15, 2024.