Wanafunzi wa PSMU na Askari wa mafunzo ya Awali ya Polisi na Takukuru watoa Misaada Kwa Yatima
Leo tarehe 7/7/2024 Wanafunzi wa PSMU na Askari wa mafunzo ya Awali ya Polisi na Takukuru walioko shule ya polisi Tanzania Moshi wametembelea Kituo Cha Ushirika wa Neema Kalali-Machame cha watoto Yatima na kutoa Misaada mbalimbali ya vitu na pesa Akiongoza msafara huo Sp Elifuraha .M Kukudi amewapongeza Wanafunzi hao kwa kujitoa kwa wahitaji hii inadhihirisha Usalama wa Raia na Mali zake. Nae Mkurugenzi wa Shirika hilo sister Adventina Ameshukuru Uongozi wa Shule ya polisi kwa kuwaruhusu kuja kutoa misaada hii ,pia Wanafunzi wenyewe kwa Moyo wa kujitoa kwa wahitaji.
Great article! I really appreciate the clear and detailed insights you’ve provided on this topic. It’s always refreshing to read content that breaks things down so well, making it easy for readers to grasp even complex ideas. I also found the practical tips you’ve shared to be very helpful. Looking forward to more informative posts like this! Keep up the good work!
Thanks 🙏