Similar Posts
Ufunguzi rasmi wa zoezi la FTX 2
Viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Maduhu Kazi na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura wamewasili katika ukumbi wa shule ya Polisi Moshi kwa ajili ya Ufunguzi rasmi wa zoezi la FTX 2
MH. SIMBACHAWENE AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA TAKUKURU – MOSHI.
Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora; Mh. George Simbachawene leo tarehe 06.10.2023 katika Shule ya Polisi Tanzania- Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amewafungia mafunzo Maofisa na maofisa wasaidizi mafunzo yao ya awali. Hata hivyo, Mh. Simbachawene amewataka wahitimu kutumia taaluma waliyoipata kuifanya TAKUKURU kuwa ya mfano, kuheshimika na kuaminika katika…
WANAFUNZI 3762 WA MAFUNZO YA AWALI YA POLISI WAGEUKA KIVUTIO MJINI MOSHI
Leo tarehe 07/02/2024 Mkufunzi Mkuu Shule ya Polisi Tanzania Moshi ACP Omary Kisalo Amewakagua Askari 3762 wakiwemo wanawake 1086 wa Mafunzo ya awali ya Polisi kozi namba moja 2022/2023 (CI PAREDI) na kufanya Mazoezi ya kutembea kwa Miguu kilo meta 16 ili kuendelea kujiimarisha Kimwili na Afya kwa ujumla. Acp Omary Kisalo amemalizia kwa kukagua…
NISHANI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvalisha Nishani ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mkuu wa Shule ya Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro SACP Ramadhani Mungi na wengine kwaniaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt. Samia Suluhu…
SERIKALI KUONGEZA AJIRA JESHI LA POLISI NCHINI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. ALLY SENGA GUGU amesema Serikali ina mpango wa kuongeza uandikishaji wa askari wapya kwa Jeshi la Polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama nchini.Amesema hayo leo tarehe 28.06.2024 huko Kambi ya Kilele Pori iliyopo wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro wakati akifunga mafunzo ya uongozi mdogo ngazi…