UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura akizungumza katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi leo Septemba 12, 2024 katika Shule ya Polisi Tanzania iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro.