MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI SHULE YA POLIS MOSHI – CCP
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi pamoja na kuhitimisha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ambapo moja ya Mambo aliyosisitiza ni kuendelezwa kwa mradi wa Polisi Kata.