TANGAZO LA KURIPOTI SHULE YA POLISI MOSHI – CCP
Tangazo la kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania.
info@tpsmoshi.ac.tz
Tangazo la kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania.
Leo tarehe 7/7/2024 Wanafunzi wa PSMU na Askari wa mafunzo ya Awali ya Polisi na Takukuru walioko shule ya polisi Tanzania Moshi wametembelea Kituo Cha Ushirika wa Neema Kalali-Machame cha watoto Yatima na kutoa Misaada mbalimbali ya vitu na pesa Akiongoza msafara huo Sp Elifuraha .M Kukudi amewapongeza Wanafunzi hao kwa kujitoa kwa wahitaji hii…
Viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Maduhu Kazi na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura wamewasili katika ukumbi wa shule ya Polisi Moshi kwa ajili ya Ufunguzi rasmi wa zoezi la FTX 2
Picha mbalimbali zikimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Camillus Wambura wakati alipowasili katika Viwanja vya shule ya Polisi Tanzania-Moshi ambako kunafanyika sherehe za kufunga Mafunzo ya Awali ya Polisi namba 1 2023/2024 Leo October 25, 2024.
Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania CP&O, Awadhi Juma Haji awasili Shule ya Polisi Tanzania-Moshi na kusaini katika kitabu cha wageni ofisi ya Comandant wa Shule ya Polisi Tanzania-Moshi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi.Ambapo alitembelea na kukagua miundombinu ya mafunzo katika kambi ya kambapori na kilelepori .Hata hivyo alikagua ujenzi…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akikagua gwaride wakati wa hafla ya kuwavisha Nishani maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Shule ya Polisi…
Leo tarehe 30.09.2023 Kamishina wa Opereseheni na mafunzo Jeshi la Polisi, AWADHI JUMA HAJI amefanya ukaguzi katika shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Maeneo aliyokagua ni maendeleo ya “Rehasal” kwa wanafunzi wa mafunzo ya awali ya TAKUKURU pamoja na Maandalizi ya kupokea wanafunzi wapya wa kuruta. Hata hivyo, wakati wa ukaguzi huo ameupongeza uongozi wa…
WhatsApp us