Similar Posts
NISHANI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvalisha Nishani ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mkuu wa Shule ya Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro SACP Ramadhani Mungi na wengine kwaniaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt. Samia Suluhu…
TANGAZO LA KURIPOTI SHULE YA POLISI MOSHI – CCP
Tangazo la kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa Vijana waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania.
MH. KASSIM MAJALIWA AKIFUNGA MAFUNZO YA AWALI KWA MAAFISA UCHUNGUZI WA TAKUKURU
Picha mbalimbali wakati Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. KASSIM MAJALIWA akifunga Mafunzo ya Awali Kwa Maafisa Uchunguzi wa TAKUKURU yaliyokuwa yakifanyika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi leo Oktoba 26, 2024
TPS WACHANGIA DAMU SALAMA
Leo tarehe 31.05.2024, wakufunzi na wanafunzi wa Shule ya Polisi – Moshi, wamechangia damu salama kwa hospitali za KCMC pamoja na Mawenzi. Akiongoza zoezi hilo kwa niaba ya Commandant wa shule ya Polisi Tanzania – Moshi, Mnadhimu wa shule hiyo Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi STANLEY KULYAMO, amesema ushirikiano mzuri uliopo kwa Jeshi la Polisi…
NBC NA EXIM ZATOA MSAADA WA VITANDA TPS -MOSHI
Benki za NBC pamoja na EXIM leo tarehe 24.04.2024 zimetoa msaada wa jumla ya vitanda 68 kwa shule ya Polisi Tanzania – Moshi.Akizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa makabidhiano ya vitanda hivyo Commandant wa shule hiyo, Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi RAMADHANI MUNGI amezishukuru benki hizo na kuziomba kuendeleza mshikamano huo.Aidha, LAZARO MOLLEL, meneja wa…
Kongole kwa kitengo cha TEHAMA TPS-MOSHI mnafanya kazi kawa uweledi
Asante sana