KAMISHNA AWADHI AFUNGUA MAFUNZO yA AWALI YA POLISI

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Awadhi Juma Haji amefungua Mafunzo ya Askari wa Mafunzo ya awali ya Polisi yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi ambapo Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mh. Dr Samia Suluhu Hassan Kwa Jinsi alivyoliboresha Jeshi la Polisi Tanzania katika maeneo mbalimbali.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *