MH. KASSIM MAJALIWA AKIFUNGA MAFUNZO YA AWALI KWA MAAFISA UCHUNGUZI WA TAKUKURU
Picha mbalimbali wakati Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. KASSIM MAJALIWA akifunga Mafunzo ya Awali Kwa Maafisa Uchunguzi wa TAKUKURU yaliyokuwa yakifanyika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi leo Oktoba 26, 2024