SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA POLISI
Picha mbalimbali zikimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Camillus Wambura wakati alipowasili katika Viwanja vya shule ya Polisi Tanzania-Moshi ambako kunafanyika sherehe za kufunga Mafunzo ya Awali ya Polisi namba 1 2023/2024 Leo October 25, 2024.