MAFUNZO YA UCHAGUZI KWA WAKUU WA POLISI WILAYA ZOTE (OCDs) TANZANIA BARA
MKUU WA JESHI LA POLISI AMEFANYA MAFUNZO YA UCHAGUZI KWA WAKUU WA POLISI WA WILAYA ZOTE (OCDs) TANZANIA BARA KWA LENGO LA KUWAANDA KUTEKELEZA VYEMA MAJUKUMU YA KULINDA USALAMA KATIKA MCHAKATO WOTE WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA UTAKAOFANYIKA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024