KAMISHNA AWADHI AWASILI TPS – MOSHI
Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania CP&O, Awadhi Juma Haji awasili Shule ya Polisi Tanzania-Moshi na kusaini katika kitabu cha wageni ofisi ya Comandant wa Shule ya Polisi Tanzania-Moshi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi.Ambapo alitembelea na kukagua miundombinu ya mafunzo katika kambi ya kambapori na kilelepori .Hata hivyo alikagua ujenzi wa mabweni mapya ya wanafunzi wa mafunzo ya awali ya Polisi Tanzania.