SHULE YA POLISI TANZANIA-MOSHI YA UKARIBISHA MWAKA MPYA 2025 KWA UPANDAJI MITI

Mheshimiwa Raymond Mwangwala, Mkuu wa Wilaya ya Rombo, aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. Wakati wa hafla hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Shule ya Polisi Tanzania-Moshi,ambapo alishiriki kupanda mti katika viunga vya shule hiyo. Hafla hiyo ilihudhuriwa na wakufunzi, wanafunzi, na wageni mbalimbali.

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *