TIMU YA BRAVO COY YAIBUKA MSHINDI MUNGI CAP.

TIMU YA BRAVO COY YAIBUKA MSHINDI MUNGI CAP Timu ya migu ya Bravo coy imeibuka mshindi kombe la Mungi Cup kwa ushindi wa mikwaju ya penati dhidi ya timu ya Kombania A katika mechi ya fainali iliyochezwa kwenye viwanja vya michezo shule ya polisi-moshi tarehe 22/02/2025.
MUNGI CAP ni mashindano ambayo ukutanisha mchezo wa mpira wa miguu,mpira wa wavu, mprira wa pete pamoja na mchezo wa masumbwi kwa lengo la kuendeleza vipaji kwa Wanafunzi na kupata washindi kwenye kila michezo.
Mashindano haya yanafanyika kila mwaka na kwa mwaka huu michuano hiyo ilifunguliwa tarehe 24/01/2025 katika viwanja shule ya Polisi Tanzania-Moshi.