WANAFUNZI 3762 WA MAFUNZO YA AWALI YA POLISI WAGEUKA KIVUTIO MJINI MOSHI

WANAFUNZI 3762 WA MAFUNZO YA AWALI YA POLISI WAGEUKA KIVUTIO MJINI MOSHI

Leo tarehe 07/02/2024 Mkufunzi Mkuu Shule ya Polisi Tanzania Moshi ACP Omary Kisalo Amewakagua Askari 3762 wakiwemo wanawake 1086 wa Mafunzo ya awali ya Polisi kozi namba moja 2022/2023 (CI PAREDI) na kufanya Mazoezi ya kutembea kwa Miguu kilo meta 16 ili kuendelea kujiimarisha Kimwili na Afya kwa ujumla. Acp Omary Kisalo amemalizia kwa kukagua…

WANAFUNZI WA KURUTA WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA MIONGOZO MAFUNZONI

WANAFUNZI WA KURUTA WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA MIONGOZO MAFUNZONI

Kamishna wa Opereseheni na Mafunzo Jeshi la Polisi nchini, AWADHI JUMA HAJI amewataka wanafunzi wa mafunzo ya Awali namba 1, 2023/2024 kufuata sheria, taratibu na miongozo muda wote wakiwa mafunzoni.Akizungumza wakati wa kuwafungulia Mafunzo wanafunzi hao waliopo kambi ya Kamba Pori na Kambi ya Kilele pori leo tarehe 27.12.2023, Kamishina AWADHI amesema hakutakuwa na muhari…

MH. SIMBACHAWENE AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA TAKUKURU – MOSHI.

MH. SIMBACHAWENE AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA TAKUKURU – MOSHI.

Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora; Mh. George Simbachawene leo tarehe 06.10.2023 katika Shule ya Polisi Tanzania- Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amewafungia mafunzo Maofisa na maofisa wasaidizi mafunzo yao ya awali. Hata hivyo, Mh. Simbachawene amewataka wahitimu kutumia taaluma waliyoipata kuifanya TAKUKURU kuwa ya mfano, kuheshimika na kuaminika katika…

CP AWADHI AFANYA UKAGUZI

CP AWADHI AFANYA UKAGUZI

Leo tarehe 30.09.2023 Kamishina wa Opereseheni na mafunzo Jeshi la Polisi, AWADHI JUMA HAJI amefanya ukaguzi katika shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Maeneo aliyokagua ni maendeleo ya β€œRehasal” kwa wanafunzi wa mafunzo ya awali ya TAKUKURU pamoja na Maandalizi ya kupokea wanafunzi wapya wa kuruta. Hata hivyo, wakati wa ukaguzi huo ameupongeza uongozi wa…

UMAHIRI WA ASKARI POLISI WAMKOSHA NAIBU WAZIRI

UMAHIRI WA ASKARI POLISI WAMKOSHA NAIBU WAZIRI

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mheshimiwa Jumanne Sagini amekoshwa na umahiri wa askari Polisi waliopo mafunzo ya uongozi mdogo cheo cha sajini meja na Koplo walioonyesha wakati wa maonyesho mbalimbali ya kuhitimisha mafunzo ya medani za kivita Septemba 5, 2023 kambi ya kambapori iliyopo Kilimanjaro Magharibi. Mhe. Sagini ambaye alikuwa mgeni rasmi…