UMAHIRI WA ASKARI POLISI WAMKOSHA NAIBU WAZIRI

UMAHIRI WA ASKARI POLISI WAMKOSHA NAIBU WAZIRI

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mheshimiwa Jumanne Sagini amekoshwa na umahiri wa askari Polisi waliopo mafunzo ya uongozi mdogo cheo cha sajini meja na Koplo walioonyesha wakati wa maonyesho mbalimbali ya kuhitimisha mafunzo ya medani za kivita Septemba 5, 2023 kambi ya kambapori iliyopo Kilimanjaro Magharibi. Mhe. Sagini ambaye alikuwa mgeni rasmi…