TIMU YA BRAVO COY YAIBUKA MSHINDI MUNGI CAP.

TIMU YA BRAVO COY YAIBUKA MSHINDI MUNGI CAP.

TIMU YA BRAVO COY YAIBUKA MSHINDI MUNGI CAP Timu ya migu ya Bravo coy imeibuka mshindi kombe la Mungi Cup kwa ushindi wa mikwaju ya penati dhidi ya timu ya Kombania A katika mechi ya fainali iliyochezwa kwenye viwanja vya michezo shule ya polisi-moshi tarehe 22/02/2025. MUNGI CAP ni mashindano ambayo ukutanisha mchezo wa mpira…

KHERI YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

KHERI YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

SACP RAMADHANI A. MUNGI, COMMANDANT wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi, anawatakia kheri ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wakufunzi wote na familia zao, Watumishi raia, pamoja na Wanafunzi wote waliopo katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Maadhimisho haya ni ishara ya kutambua na kuthamini mchango wa Waasisi wote kwa Waliojitoa na…

KAMISHNA AWADHI AWASILI TPS – MOSHI

KAMISHNA AWADHI AWASILI TPS – MOSHI

Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania CP&O, Awadhi Juma Haji awasili Shule ya Polisi Tanzania-Moshi na kusaini katika kitabu cha wageni ofisi ya Comandant wa Shule ya Polisi Tanzania-Moshi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi.Ambapo alitembelea na kukagua miundombinu ya mafunzo katika kambi ya kambapori na kilelepori .Hata hivyo alikagua ujenzi…

KAMISHNA AWADHI AFUNGUA MAFUNZO yA AWALI YA POLISI

KAMISHNA AWADHI AFUNGUA MAFUNZO yA AWALI YA POLISI

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Awadhi Juma Haji amefungua Mafunzo ya Askari wa Mafunzo ya awali ya Polisi yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi ambapo Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mh. Dr Samia Suluhu Hassan Kwa Jinsi alivyoliboresha Jeshi la…

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI SHULE YA POLIS MOSHI – CCP

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI SHULE YA POLIS MOSHI – CCP

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi pamoja na kuhitimisha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ambapo moja ya Mambo aliyosisitiza ni kuendelezwa kwa…