- This event has passed.
Sherehe ya kufunga Mafunzo ya Awali ya Polisi
March 25, 2024 - March 26, 2024
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (CPF) anayo furaha kuwaalika katika sherehe za kufunga mafuzo ya awali ya Polisi kozi NO: 01 2022/2023. Mgeni rasmi: Mhe. Mhandisi Hamadi Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi sherehe hizo zitafanyika kambi ya Kambapori ( West Kilimanjaro) na Kilelepori Tarehe 24 – 25 / 03 /2024.