- This event has passed.
Sherehe ya Kumuaga Kamishna Mstaafu wa jeshi la Polisi
March 24 @ 7:00 am - 1:00 pm
Sherehe ya kumuaga Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi, NSATO MARIJANI MSSANZYA-CP itafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 24/03/2024 katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS-Moshi). Wote mnakaribishwa.