JESHI LA POLISI TANZANIA KUWA MWENYEJI WA ZERO LA MAFUNZO YA UTAYARI KWA VITENDO 2024 KWA NCHI WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI WA UKANDA WA MASHARIKI MWA AFRIKA EAPCCO
Jeshi pa Polisi Tanzania linapenda kuujulisha Umma kuwa, litakuwa mwenyeji wa kuandaa zoezi la mafunzo ya utayari Kwa vitendo (Field Training Exercise – FTX) mwaka 2024 litakalojumuisha nchi 14 wanachama wa shirikishoa wakuu wa Polisi Ukanda wa Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) Kuanzia tarehe 13 – 18, April 2024.