KHERI YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

KHERI YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

SACP RAMADHANI A. MUNGI, COMMANDANT wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi, anawatakia kheri ya Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wakufunzi wote na familia zao, Watumishi raia, pamoja na Wanafunzi wote waliopo katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Maadhimisho haya ni ishara ya kutambua na kuthamini mchango wa Waasisi wote kwa Waliojitoa na…

SHULE YA POLISI TANZANIA-MOSHI YA UKARIBISHA MWAKA MPYA 2025 KWA UPANDAJI MITI

Mheshimiwa Raymond Mwangwala, Mkuu wa Wilaya ya Rombo, aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuaga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. Wakati wa hafla hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Shule ya Polisi Tanzania-Moshi,ambapo alishiriki kupanda mti katika viunga vya shule hiyo. Hafla hiyo ilihudhuriwa na wakufunzi, wanafunzi, na wageni mbalimbali.

WANAFUNZI WA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO NDANI YA JESHI LA POLISI NGAZI YA CPL WALIOPO KAMBI YA KILELEPORI WAFANYA USAFI KATIKA ZAHANATI YA SINAI

WANAFUNZI WA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO NDANI YA JESHI LA POLISI NGAZI YA CPL WALIOPO KAMBI YA KILELEPORI WAFANYA USAFI KATIKA ZAHANATI YA SINAI

Leo tarehe 26/12/2024 kuanzia saa 02:00 Hadi 06:00 Asubuhi siku ya mapumziko ya Christmas wanafunzi 200 wa mafunzo ya uongozi mdogo ndani ya jeshi la Polisi ngazi ya CPL waliopo kambi ya Kilelepori wakiongozwa na Adjutant wa shule ya Polisi Tanzania – Moshi SSP A.S. Damazo, wakaguzi wasaidizi 02; A/INSP Ramadhani na A/INSP Machaule na…

KAMISHNA AWADHI AWASILI TPS – MOSHI

KAMISHNA AWADHI AWASILI TPS – MOSHI

Kamishina wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania CP&O, Awadhi Juma Haji awasili Shule ya Polisi Tanzania-Moshi na kusaini katika kitabu cha wageni ofisi ya Comandant wa Shule ya Polisi Tanzania-Moshi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi.Ambapo alitembelea na kukagua miundombinu ya mafunzo katika kambi ya kambapori na kilelepori .Hata hivyo alikagua ujenzi…

KAMISHNA AWADHI AFUNGUA MAFUNZO yA AWALI YA POLISI

KAMISHNA AWADHI AFUNGUA MAFUNZO yA AWALI YA POLISI

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Awadhi Juma Haji amefungua Mafunzo ya Askari wa Mafunzo ya awali ya Polisi yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi ambapo Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mh. Dr Samia Suluhu Hassan Kwa Jinsi alivyoliboresha Jeshi la…