JESHI LA POLISI LAELEKEZWA KUJIPANGA KUIMARISHA AMANI NA USALAMA WAKATI WOTE WA UCHAGUZI MKUU 2025

JESHI LA POLISI LAELEKEZWA KUJIPANGA KUIMARISHA AMANI NA USALAMA WAKATI WOTE WA UCHAGUZI MKUU 2025

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Agosti 11, 2025 amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi, mkoani Kilimanjaro. Mkutano huo unaongozwa na Kauli mbiu isemayo “Amani, utulivu na usalama kabla, wakati na baada…

IGP WAMBURA: JESHI LA POLISI HALITAMVUMILIA YEYOTE ATAKAYEJARIBU KUVUNJA AMANI YA NCHI

IGP WAMBURA: JESHI LA POLISI HALITAMVUMILIA YEYOTE ATAKAYEJARIBU KUVUNJA AMANI YA NCHI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema Jeshi hilo halitawavumilia watu wanaojificha chini ya mwamvuli wa siasa ambao wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kufanya vitendo vya uhalifu wakiwa na dhamira ya kuvuruga amani ya nchi. Amesema watu hao wamekuwa wakitumia lugha za uchochezi na upotoshaji kwa lengo la kuigawa jamii, na kusisitiza…

UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAKUU WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI

UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAKUU WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo tarehe 11 Agosti 2025, amefungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi ambapo ufunguzi uo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi, Mkoani Kilimanjaro.

KAMISHNA SHILOGILE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MFUKO WA FARAJA WA JESHI LA POLISI

KAMISHNA SHILOGILE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MFUKO WA FARAJA WA JESHI LA POLISI

Kamishna wa Polisi Jamii, CP Faustine Shilogile leo Julai 31, 2025 amefungua mkutano mkuu wa mwaka wa mfuko wa faraja wa Jeshi la Polisi kwa kupongeza kuanzishwa kwa mfumo unaoendesha na kuratibu utoaji huduma za mfuko huo ambao hadi sasa umesajili asiliamia 60 ya watumishi wote wa Jeshi la Polisi katika mfumo wa kidijitali. Kamishna…

EGA YATOA ELIMU YA USIMAMIZI WA MIFUMO YA TEHAMA TPS-MOSHI

EGA YATOA ELIMU YA USIMAMIZI WA MIFUMO YA TEHAMA TPS-MOSHI

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) imetoa mafunzo ya kusimamia usalama wa mifumo ya TEHAMA serikalini kwa Maafisa, Wakaguzi na Askari wa ngazi ya kawaida katika Shule ya Polisi Tanzania Moshi (TPS) Ambapo lengo la mafunzo hayo ni kulinda na kutuma taarifa muhimu, kukinga taarifa zisitumike bila idhini, kulinda taswira na kupima uhimilivu wa mifumo pamoja…

KAMISHNA AWADHI AWAASA ASKARI WANAFUNZI KUIPENDA NCHI YAO KWANI HAWANA NCHI NYINGINE ZAIDI YA TANZANIA

KAMISHNA AWADHI AWAASA ASKARI WANAFUNZI KUIPENDA NCHI YAO KWANI HAWANA NCHI NYINGINE ZAIDI YA TANZANIA

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo jeshi la Polisi (CP), Afande Awadhi Haji amewaasa Askari wa Mafunzo ya awali ya Polisi, kuipenda  nchi yao na kuilinda kwani hawana nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Kamishna Awadhi ametoa rai hiyo wakati  akifungua Mafunzo ya Askari wa Mafunzo ya awali ya Polisi kwa mwaka 2025/2026 ambayo yamefunguliwa katika kambi…

KAMISHNA AWADHI AWATAKA WANAFUNZI TPS MOSHI KUZINGATIA NIDHAMU MUDA WOTE WA MAFUNZO

KAMISHNA AWADHI AWATAKA WANAFUNZI TPS MOSHI KUZINGATIA NIDHAMU MUDA WOTE WA MAFUNZO

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo jeshi la Polisi (CP), Afande Awadhi Haji amewataka na kuwasisitiza wanafunzi wa mafunzo ya awali ya Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi kuzingatia mafunzo kwa weledi kwani ndio msingi wa jeshi la polisi. Afande Awadhi ametoa maagizo hayo katika kikao cha wazi alichofanya na  wakufunzi pamoja na wanafunzi…