SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO UONGOZI MDOGO TPS MOSHI 24/2025 KOZI NO - 2
March 7, 2025•1 min read
MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA IGP CAMILLUS M. WAMBURA NI MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO NGAZI YA SAJINI NA KOPLO KOZI NAMBA 2-2024/2025 TPS MOSHI LEO MACHI 7, 2025 KATIKA KAMBI YA KILELEPORI NA KUHUDHURIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI.