UJUMBE WA WAKUFUNZI KUTOKA MISRI WAWASILI TPS MOSHI

October 5, 2026 • 1 min read
UJUMBE WA WAKUFUNZI KUTOKA MISRI WAWASILI TPS MOSHI

Picha mbalimbali zikimuonyesha Komandanti wa Shule ya Polisi Tanzania Moshi, SACP Ramadhan A. Mungi, wakati wa mapokezi ya ujumbe wa Wakufunzi kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, leo tarehe 05/10/2026.

Ujumbe huo unaongozwa na Colonel Amr Ahmed Thabet, akiambatana na Maafisa wanane kutoka Chuo cha Polisi Misri (Kikosi Maalum), ambao wamefika Shule ya Polisi Tanzania Moshi kwa ajili ya kutoa mafunzo ya Ulinzi wa Viongozi (VIP Close Security Protection) pamoja na Mafunzo ya Kikosi Maalum (Special Forces Training).

Image gallery

UJUMBE WA WAKUFUNZI KUTOKA MISRI WAWASILI TPS MOSHI Gallery Image